MWENYEKITI WA CCM RAIS MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM, DODOMA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Thursday, 11 June 2020

MWENYEKITI WA CCM RAIS MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM, DODOMA

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiendesha Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Chamwino mkoani Dodoma tarehe 10 Juni 2020.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akicheza Wimbo wa Hamasa ya maendeleo pamoja na Wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Chamwino mkoani Dodoma tarehe 10 Juni 2020 kabla ya kuanza kwa Kikao hicho. PICHA NA IKULU.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM upande wa Zanzibar Rais wa Zanzibar Ali Mohamed Shein muda mfupi kabla ya kuanza kwa Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Chamwino mkoani Dodoma.

No comments:

Post a Comment