KWANDIKA AKAGUA UKARABATI WA MAJENGO SEKONDARI YA WAVULANA IHUNGO - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Thursday, 4 June 2020

KWANDIKA AKAGUA UKARABATI WA MAJENGO SEKONDARI YA WAVULANA IHUNGO

Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhe. Elias John Kwandika akisisitiza jambo kwa Mkuu wa Shule ya Sekondari ya wavulana Ihungo, Mwalimu Philipo Boneventure (kushoto) na Meneja wa Wakala wa MajengoTBA mkoani Kagera, Mhandisi Salum Chanzi (WA tatu kushoto) alipokagua ukarabati wa majengo ya shule hiyo.

Naibu Waziri wa Ujenzi Mhe. Elias John Kwandika akizungumza jambo kwa Mkuu wa Shule ya Sekondari ya wavulana Ihungo Boneventure (kulia ) na Meneja wa Wakala wa Majengo TBA, Mhandisi Chanzi mkoani Kagera alipokagua ukarabati wa majengo ya shule hiyo.
Wanafunzi wa kidato cha sita katika Sekondari ya Wavulana Ihungo wakimsikiliza Naibu Waziri wa Ujenzi Mhe. Elias John Kwandikwa (hayupo pichani) alipokagua maendeleo ya ukarabati wa shule hiyo unaofanywa na Wakala wa Majengo nchini TBA mkoani Kagera.

Muonekano wa nyumba mpya za walimu wa Sekondari ya Ihungo mkoani Kagera zinazojengwa na Wakala wa Majengo nchini TBA.



No comments:

Post a Comment