MATUKIO PICHA : WAZIRI MKUU NA WADAU WA ELIMU WA WILAYA YA RUANGWA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Saturday, 14 March 2020

MATUKIO PICHA : WAZIRI MKUU NA WADAU WA ELIMU WA WILAYA YA RUANGWA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akimpatia cheti na zawadi ya fedha, Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Chienjele, iliyopo wilayani Ruangwa, ikiwa ni motisha kwa kufaulisha vizuri wanafunzi wa kidato cha nne, kwenye kikao cha wadau wa elimu, kilichofanyika katika ukumbi wa Narung’ombe, Ruangwa, Lindi. Machi 14, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akimpatia cheti na zawadi ya fedha, Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Mbekenyera, iliyopo wilayani Ruangwa, ikiwa ni motisha kwa kufaulisha vizuri wanafunzi wa kidato cha nne, kwenye kikao cha wadau wa elimu, kilichofanyika katika ukumbi wa Narung’ombe, Ruangwa, Lindi. Machi 14, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

No comments:

Post a Comment