MATUKIO PICHA : MAJALIWA ASHIRIKI SWALA YA IJUMAA KATIKA MSIKITI WA GADDAFI DODOMA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Friday, 14 February 2020

MATUKIO PICHA : MAJALIWA ASHIRIKI SWALA YA IJUMAA KATIKA MSIKITI WA GADDAFI DODOMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza  baada ya kushiriki katika  Swala ya Ijumaa kwenye Msikiti wa Gaddafi mjini Dodoma, Februari 14, 2020.  Katikati ni Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi wakisalimiana na Sheikh wa Mkoa wa Dodoma, Alhaj Mustafa Rajab Shaaban  (katikati) baada ya kushiriki katika  Swala ya Ijumaa kwenye Msikiti wa Gaddafi jijini Dodoma, Februari 14,  2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi baada ya kushiriki katika  Swala ya Ijumaa kwenye Msikiti wa Gaddafi jijini Dodoma, Februari 14, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wazee baada ya kushiriki katika Sala ya Ijumaa kwenye Msikiti wa Gaddafi jijini Dodoma, Februari 14, 2020.  Wa pili kulia ni Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi na kulia ni Sheikh wa Mkoa wa Dodoma, Alhaj Mustafa Rajab Shaaban.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment