MATUKIO PICHA : MSAJILI AKITOA UFAFANUZI WA BAADHI YA HOJA ZA WAJUMBE WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA BAJETI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Friday, 14 February 2020

MATUKIO PICHA : MSAJILI AKITOA UFAFANUZI WA BAADHI YA HOJA ZA WAJUMBE WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA BAJETI

Msajili wa Hazina, Athumani Mbuttuka akitoa ufafanuzi wa baadhi ya hoja za wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti wakati wa ziara yao katika Ofisi ya Msajili wa Hazina jana jijini Dar es Salaam ambako walipewa taarifa  ya utekelezaji wa majukumu mbalimbali ya ofisi hiyo inayosimamia jumla ya taasisi na Mashirika ya Umma 266. Miongoni mwa mambo yaliyowafurahisha wabunge hao ni utelekezwaji wa agizo la Rais, Dk John Magufuli la kutaka kurejesha serikalini viwanda visivyofanya kazi. Mpaka sasa viwanda 31 vimesharejeshwa serikalini na zaidi ya nusu sasa zinafanya kazi. (Picha na Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano, OMH)

No comments:

Post a Comment