CD MPYA " AWAMU YA TANO UWANJANI" BY NGOMA AFRICA BAND BASED IN GERMANY - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Sunday, 16 February 2020

CD MPYA " AWAMU YA TANO UWANJANI" BY NGOMA AFRICA BAND BASED IN GERMANY


New CD Awamu Ya Tano Uwanjani


Ras Makunja ,leader of Ngoma Africa band


CD hii iliyobeba jina la "Awamu Ya Tano Uwanjani" kutoka kwao bendi maarufu ya muziki wa dansi barani Ulaya The "Ngoma Africa band" aka FFU ughaibuni ni utunzi na uwimbaji wake kiongozi wa bendi hiyo Ebrahim Makunja aka Kamanda Ras Makunja akishirikiana na Chris-B  Bakotessa ambaye pia upiga gitaa la solo na mdundo wa dansi wenye ustadi wa aina yake wa Ngoma Africa Band.

nyimbo zilizomo katika CD ya "Awamu Ya Tano Uwanjani" zimerusiwa kupigwa maala popote bure haziuzwi

No comments:

Post a Comment