RAIS DK MAGUFULI ASHIRIKI MISA TAKATIFU PAROKIA YA OYSTERBAY - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Sunday, 27 October 2019

RAIS DK MAGUFULI ASHIRIKI MISA TAKATIFU PAROKIA YA OYSTERBAY

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waumini wengine wa Kanisa Katoliki wakishiriki Misa Takatifu Dominika ya 30 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam. Ibada iliyoongozwa na Paroko Msaidizi Padre Paul Haule, Oktoba 27,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Mkate wa Ekaristi alipoungana na Waumini wengine wa Kanisa Katoliki kushiriki Misa Takatifu Dominika ya 30 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam. Ibada iliyoongozwa na Paroko Msaidizi Padre Paul Haule, Oktoba 27,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na baadhi ya Waumini wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mtakatifu Joseph baada ya Misa Takatifu Dominika ya 30 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam na kuongozwa na Paroko Msaidizi Padre Paul Haule, Oktoba 27,2019.

No comments:

Post a Comment