UJENZI WA BARABARA ZA GEITA-KAGERA UKIENDELEA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Wednesday 10 July 2019

UJENZI WA BARABARA ZA GEITA-KAGERA UKIENDELEA

Mhandisi mshauri Thomas Kidane toka kampuni ya SMEC ya Australia akifafanua jambo kwa wahandisi Peter Sikalumba (kushoto), Joyce Mbunju, na Rubara Marandu (kulia) toka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (sekta ya ujenzi), walipokagua ujenzi wa barabara ya Lusahunga-Ushirombo (km 110), ambayo ujenzi wake unaendelea kwa kiwango cha lami.

Muonekano wa barabara ya Lusahunga-Ushirombo (km 110), ambayo ujenzi wake kwa kiwango cha lami unaendelea, barabara hiyo ni sehemu ya barabara kuu ya Tinde – Isaka - Rusumo inayounganisha mikoa ya Kagera - Geita na Shinyanga.

Muonekano wa barabara ya Bwanga- Biharamulo (km 68), ambayo ujenzi wake kwa kiwango cha lami umekamilika, barabara hiyo inaunganisha mkoa wa Kagera na Geita.

Muonekano wa barabara ya Lusahunga-Ushirombo (km 110), ambayo ujenzi wake kwa kiwango cha lami unaendelea, barabara hiyo ni sehemu ya barabara kuu ya Tinde - Isaka- Rusumo inayounganisha mikoa ya Kagera - Geita na Shinyanga.
Imetolewa na Kitengo cha Habari na Mawasiliano Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano.

No comments:

Post a Comment