RAIS DK MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA MAADHIMISHO SHEREHE ZA EKARISTI TAKATIFU KANISA LA ST PETR - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Sunday, 23 June 2019

RAIS DK MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA MAADHIMISHO SHEREHE ZA EKARISTI TAKATIFU KANISA LA ST PETR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akishiriki katika  Misa ya Maadhimisho ya Sherehe ya Ekaristi Takatifu katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es salaam Jumapili Juni 23, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Padre Dk. Alister Makubi, Paroko wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es salaam baada ya kushiriki Misa ya Maadhimisho ya Sherehe ya Ekaristi Takatifu kanisani hapo katika Juni 23, 2019. Katikati ni Paroko Msaidizi wa kanisa hilo Padre Paul Haule na Mzee wa Kanisa Dk. Aldehem Meru.

No comments:

Post a Comment