WANAFUNZI WA SEKONDARI YA MPWAPWA WASHAURIWA KUSOMA SAYANSI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Thursday, 4 April 2019

WANAFUNZI WA SEKONDARI YA MPWAPWA WASHAURIWA KUSOMA SAYANSI

Mhandisi kutoka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Kitengo maalum cha ushirikishwaji wa wanawake katika kazi za barabara, Bi. Salome Majala, akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kibakwe, wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma, ili kuwahamasisha kusoma masomo ya Sayansi na Hisabati.

Mhandisi kutoka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Kitengo maalum cha ushirikishwaji wa wanawake katika kazi za barabara, Bi. Upendo Sanze, akifafanua jambo kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kibakwe, wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma, kuhusu umuhimu wa masomo ya Sayansi na Hisabati.

Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kibakwe, wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma, wakimsikiliza Mhandisi kutoka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Kitengo maalum cha ushirikishwaji wa wanawake katika kazi za barabara, Bi. Upendo Sanze (hayupo pichani), alipofika shuleni hapo kuhamasisha umuhimu wa masomo ya Sayansi na Hisabati.


No comments:

Post a Comment