RAIS MAGUFULI AWASILI JIJINI MBEYA, AWASALIMIA WAKAZI MBALIZI, NZOVWE, IYUNGA NA MAFIATI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Friday 26 April 2019

RAIS MAGUFULI AWASILI JIJINI MBEYA, AWASALIMIA WAKAZI MBALIZI, NZOVWE, IYUNGA NA MAFIATI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwasili katika uwanja wa ndege wa Songwe mkoani Mbeya mara baada ya kuwasili akitokea nchini Malawi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa Mbeya waliofika katika uwanja wa ndege wa Songwe kumpokea.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi (Sugu) aliyefika katika uwanja wa ndege wa Songwe kumpokea.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Masista katika eneo la Uzunguni mkoani Mbeya mara baada ya kuwasili jijini humo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Masista katika eneo la Uzunguni mkoani Mbeya mara baada ya kuwasili jijini humo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa Mbeya waliofika katika uwanja wa ndege wa Songwe kumpokea.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa Mbeya waliofika katika uwanja wa ndege wa Songwe kumpokea.

Wakazi wa Iyunga jijini Mbeya  wakishangilia mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuwasili katika eneo hilo wakati akitokea katika uwanja wa ndege wa Songwe.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Uzunguni Mkoani Mbeya wakati akielekea Ikulu. PICHA NA IKULU.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Mbalizi wakati akielekea Mbeya mjini.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi (Sugu) katika eneo la Mafiati mara baada ya kuhutubia.

Wananchi wa Mafiati jijini Mbeya wakishangilia wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli alipowasili katika eneo hilo.

Baadhi ya viongozi mbalimbali waliokuwa kwenye msafara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa, Dkt. John Pombe Magufuli wakitambulishwa kwa wananchi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi (Sugu) katika eneo la Mafiati mara baada ya kuhutubia.

No comments:

Post a Comment