RAIS MAGUFULI AKIZUNGUMZA NA WANANCHI MAFINGA AKIWA NJIANI KUELEKEA, IRINGA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Friday, 12 April 2019

RAIS MAGUFULI AKIZUNGUMZA NA WANANCHI MAFINGA AKIWA NJIANI KUELEKEA, IRINGA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Mafinga mara baada ya kuwasili wakati akitokea Makambako mkoani Njombe.


Umati wa Wananchi wa Mafinga  wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wakati alipokuwa akizungumza nao.


Umati wa Wananchi wa Mafinga  wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wakati alipokuwa akizungumza nao.


Baraka Mwakipesile (Anko Magu) Kijana anayeigiza sauti ya Rais Dkt. Magufuli akipiga makofi wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akihutubia. Picha na zote na IKULU.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza kijana Baraka Mwakipesile (Anko Magu) wa Mafinga ambaye anaigiza sauti ya Rais Dkt. Magufuli mara baada ya kupewa nafasi ya kuzungumza.


No comments:

Post a Comment