RAIS MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA TUNDURU-MATEMANGA –KILIMASERA-NAMTUMBO KM 193, RUVUMA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Friday, 5 April 2019

RAIS MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA TUNDURU-MATEMANGA –KILIMASERA-NAMTUMBO KM 193, RUVUMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Balozi wa Japan hapa nchini Shinichi Goto, Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB nchini Tanzania Dkt. Alex Mubiru pamoja na viongozi mbalimbali  wakivuta utepe kuashiria ufunguzi wa barabara ya Tunduru-Matemanga-Kilimasera km 193 katika sherehe zilizofanyika Tunduru mkoani Ruvuma.

Kwaya ya JKT kutoka Tunduru ikiimba katika sherehe za ufunguzi wa barabara hiyo Tunduru mkoani Ruvuma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Balozi wa Japan hapa nchini Shinichi Goto kulia pamoja na Mwakilishi Mkuu wa JICA hapa nchini Naofumi Yamamura mara baada ya kufungua barabara hiyo ya Tunduru-Matemanga-Kilimasera km 193 katika sherehe zilizofanyika Tunduru mkoani Ruvuma.

No comments:

Post a Comment