RAIS DK MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI HOSPITALI YA RUFAA, NJOMBE NA JIWE LA MSINGI UJENZI BARABARA YA NJOMBE-MAKETE KM 107.4 - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Wednesday, 10 April 2019

RAIS DK MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI HOSPITALI YA RUFAA, NJOMBE NA JIWE LA MSINGI UJENZI BARABARA YA NJOMBE-MAKETE KM 107.4

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama Janeth Magufuli, Waziri wa Afya Ummy Mwalimu pamoja na viongozi wengine  akivuta utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Njombe.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Waziri wa Afya Ummy Mwalimu mara baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Njombe.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua maeneo mbalimbali ya hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Njombe ambayo ujenzi wake upo katika hatua za mwisho kukamilika.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Njombe Christopher Ole Sendeka, Waziri wa Afya Ummy Mwalimu pamoja na viongozi wengine mara baada ya ya kuweka jiwe la msingi katika hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Njombe.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa barabara ya Njombe-Makete km 107.4

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na viongozi mbalimbali akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mitambo itakayotumika katika ujenzi wa barabara ya Njombe-Makete km 107.4.
Baadhi ya wakazi wa Njombe wakiwa katika mkutano wa hadhara katika viwanja vya sabasaba.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono pamoja na kuwasukuru wanachi wa Njombe waliojitokeza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Sabasaba mkoani humo.

Sehemu ya jengo la la hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Njombe. PICHA ZOTE NA IKULU.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiimba pamoja na wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Ramadhani wakati alipokwenda kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa barabara ya Njombe-Makete km 107.4.





No comments:

Post a Comment