RAIS DK MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA MBEYA-LWANJILO-CHUNYA KM 72 NA KUWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA CHUNYA-MAKONGOLOSI KM 39 - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Saturday 27 April 2019

RAIS DK MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA MBEYA-LWANJILO-CHUNYA KM 72 NA KUWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA CHUNYA-MAKONGOLOSI KM 39

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama Janeth Magufuli, pamoja na viongozi mbalimbali Wabunge, Mawaziri, Viongozi wa Mkoa wa Mbeya, akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Mitambo itakayotumika katika ujenzi wa barabara ya Chunya hadi Makongolosi km 39 itakayojengwa kwa kiwango cha lami katika sherehe zilizofanyika Chunya mkoani Mbeya.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na viongozi wengine akivuta utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi mradi wa ujenzi wa barabara itakayojengwa kwa kiwango cha lami kutoka Chunya hadi Makongolosi km 39.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama Janeth Magufuli, pamoja na viongozi mbalimbali Wabunge, Mawaziri, Viongozi wa Mkoa wa Mbeya, akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Barabara ya  Mbeya-Lwanjilo-Chunya yenye jumla ya kilometa 72 iliyokamika kujengwa kwa kiwango cha lami katika sherehe zilizofanyika Chunya mkoani Mbeya.

No comments:

Post a Comment