TANZANIA YATOA MISAADA YA MADAWA, CHAKULA KWA NCHI ZA MSUMBIJI, MALAWI NA ZIMBABWE ZILIZOKUMBWA NA MAFURIKO - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Tuesday, 19 March 2019

TANZANIA YATOA MISAADA YA MADAWA, CHAKULA KWA NCHI ZA MSUMBIJI, MALAWI NA ZIMBABWE ZILIZOKUMBWA NA MAFURIKO

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi na Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu wakiwa na Balozi Glad Chembe Munthali, Balozi wa Msumbiji Mhe. Monica D.C. Mussa na Balozi Mdogo wa Zimambwe nchini Mhe. Martin Tavenyika wakikagua madawa na vyakula ambavyo Serikali ya Tanzania imetoa msaada kwa nchi zao ambazo zimekumbwa na maafa ya mafuriko kufuatia tufani kali iliyolikumba eneo hilo la kusini mwa Afrika.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi na Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu wakiwa na Glad Chembe Munthali, Balozi wa Msumbiji Mhe. Monica D.C. Mussa na Balozi Mdogo wa Zimambwe nchini Mhe. Martin Tavenyika wakagua madawa na vyakula ambavyo serikali ya Tanzania imetoa msaada kwa nchi zao ambazo zimekumbwa na maafa ya mafuriko kufuatia tufani kali iliyolikumba eneo hilo la kusini mwa Afrika.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi na Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu wakiwa na Balozi Glad Chembe Munthali, Balozi wa Msumbiji Mhe. Monica D.C. Mussa na Balozi Mdogo wa Zimambwe nchini Mhe. Martin Tavenyika wakikagua madawa na vyakula ambavyo Serikali ya Tanzania imetoa msaada kwa nchi zao ambazo zimekumbwa na maafa ya mafuriko kufuatia tufani kali iliyolikumba eneo hilo la kusini mwa Afrika.

Askari wa Jeshi la Ulinzi wakishusha misaada ya madawa na chakula ambavyo serikali ya Tanzania imetoa msaada kwa nchi za Malawi, Msumbiji na Zimbabwe  ambazo zimekumbwa na maafa ya mafuriko kufuatia tufani kali iliyolikumba eneo hilo la kusini mwa Afrika.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi na Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu wakiwa na Balozi wa Glad Chembe Munthali, Balozi wa Msumbiji Mhe. Monica D.C. Mussa na Balozi Mdogo wa Zimambwe nchini Mhe. Martin Tavenyika baada ya kuwakabidhi misaada ya madawa na vyakula ambavyo serikali ya Tanzania imetoa kwa nchi zao ambazo zimekumbwa na maafa ya mafuriko kufuatia tufani kali iliyolikumba eneo hilo la kusini mwa Afrika.

Askari wa Jeshi la Ulinzi wakishusha misaada ya madawa na chakula ambavyo serikali ya Tanzania imetoa msaada kwa nchi za Malawi, Msumbiji na Zimbabwe  ambazo zimekumbwa na maafa ya mafuriko kufuatia tufani kali iliyolikumba eneo hilo la kusini mwa Afrika.

Brigedia Jenerali Francis Shirima  wa kikosi cha anga cha JWTZ akiongea na wanahabari baada ya kukabidhiwa misaada ya madawa na chakula
 ili kuipeleka nchi za Malawi, Msumbiji na Zimbabwe ambazo 
zimekumbwa na maafa ya mafuriko kufuatia tufani kali iliyokumba mataifa hayo.

No comments:

Post a Comment