HATIMAYE RUGE MUTAHABA AZIKWA KIJIJINI KIZIRU, BUKOBA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Monday, 4 March 2019

HATIMAYE RUGE MUTAHABA AZIKWA KIJIJINI KIZIRU, BUKOBA

Mkuu wa MKoa wa Dar Es Salmaa, Paul Makonda akiweka maua katika Kaburi la marehemu Ruge Mutahaba katika hafla ya maziko yaliyofanyika kijijini Kiziru Bukoba.

Mtoto wa marehemu Ruge akiweka ua katika kaburi la marehemu baba yake (Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media, Ruge Mutahaba) katika hafla ya maziko iliyofanyika  kijijini kwao Kiziru Bukoba.

Mkurugenzi wa Clouds Media Group Joseph Kusaga, akiweka shada katika kaburi la marehemu Ruge Mutahaba, Shughuli za maziko zilianza kwa Ibada ya mazishi ambayo iliongonzwa na Katibu wa Parokia ya Itahwa,

Wazazi pamoja na familia wakiweka shada la maua katika kaburi la mpendwa wao, marehemu Ruge Mutahaba. 

Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais – Muungano na Mazingira, January Makamba akiweka shada.

No comments:

Post a Comment