VODACOM WAZINDUWA KITUO CHA KUTOLEA HUDUMA TUNDUMA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Friday, 22 February 2019

VODACOM WAZINDUWA KITUO CHA KUTOLEA HUDUMA TUNDUMA

Mkuu wa Wilaya ya Momba, Bw. Juma Ilando akikata keki baada ya kuzindua duka la Vodacom Tanzania wilayani hapo ikiwa ni jitihada za kampuni hiyo kuwafikia wateja wake. Kulia kwake ni Mkuu wa mauzo wa Vodacom Kanda ya nyanda za juu Kusini, Bw. MacFadyne Minja (mwenye shati nyeusi) pamoja na wafanyakazi wa Vodacom Tunduma. 

Mkuu wa Wilaya ya Momba, Bw. Juma Ilando akizungumza baada ya uzinduzi wa duka la Vodacom Tanzania mjini Tunduma ikiwa ni jitihada za kampuni hiyo kuwafikia wateja wake. Kulia kwake ni Mkuu wa mauzo wa Vodacom Kanda ya nyanda za juu Kusini, Bw. MacFadyne Minja (mwenye shati nyeusi) pamoja na wafanyakazi wa Vodacom Tunduma.

Wanamuziki  wakiburudisha katika uzinduzi wa duka la Vodacom Tanzania mjini Tunduma, ikiwa ni jitihada za kampuni hiyo kuwasogezea wateja wake huduma.

No comments:

Post a Comment