NAIBU WAZIRI IKUPA ATEMBELEA KUKUNDI CHA WAJASIRIAMALI WALEMAVU NA SHULE YA VIZIWI DODOMA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Thursday, 14 February 2019

NAIBU WAZIRI IKUPA ATEMBELEA KUKUNDI CHA WAJASIRIAMALI WALEMAVU NA SHULE YA VIZIWI DODOMA

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Wenye Ulemavu  Mhe. Stella Ikupa akizungumza na wanachama wa Sulungai,  alipokuwa kwenye ziara kukagua utekelezaji wa masuala ya Watu wenye Ulemavu Mkoa wa Dodoma. (Kulia) ni Katibu Tawala wa Wilaya ya Dodoma Mjini Bw. Edward Mpogolo.

Mwenyekiti wa Chama cha Walemavu Sulungai (CHAWASU) Bw. Stanley Jumbe akimweleza Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Wenye Ulemavu  Mhe. Stella Ikupa namna ya kuandaa viatu vya wazi aina ya Makobazi. 

Mwananfunzi mwenye Uziwi wa darasa la Saba, Eliabi Chilongola akimweleza kwa lugha ya alama Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Watu wenye Ulemavu, Mhe. Stella Ikupa, teknolojia aliyoivumbua ya Umwagiliaji.

Mwananfunzi mwenye Uziwi wa darasa la Tatu, Shadia Kizamo akitaja jina la Waziri Mkuu wa Jamhuri y Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa kwa lugha ya alama swali aliloulizwa na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia (Watu wenye Ulemavu) Mhe. Stella Ikupa  (hayupo pichani).

Add caption

No comments:

Post a Comment