WAKUU WA MIKOA WAKABIDHIWA AWAMU YA PILI YA VITAMBULISHO VYA WAFANYABISHARA WADOGO WADOGO - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Tuesday, 29 January 2019

WAKUU WA MIKOA WAKABIDHIWA AWAMU YA PILI YA VITAMBULISHO VYA WAFANYABISHARA WADOGO WADOGO

atibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi John Kijazi akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa  Tabora Mhe. Aggrey Mwanri sehemu ya   awamu ya pili ya  vitambulisho vya wafanyabishara ndogondogo vilivyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Ta nzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa kikao kazi cha kujadili mikakati ya kufanikisha zoezi hilo. Wanaoshuhudia katikati ni  Katibu Mkuu TAMISEMI  Mhandisi John Nyamhanga na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Vijana) Bw. Andrew Massawe Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 28, 2019.

Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi John Kijazi akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa  Manyara Mhe. Alexander Mnyeti  sehemu ya awamu ya pili ya   vitambulisho vya wafanyabishara ndogondogo vilivyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Ta nzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa kikao kazi cha kujadili mikakati ya kufanikisha zoezi hilo. Wanaoshuhudia katikati ni  Katibu Mkuu TAMISEMI  Mhandisi John Nyamhanga na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Vijana) Bw. Andrew Massawe Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 28, 2019

Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi John Kijazi akiongoza kikao kazi cha Wakuu wa Mikoa yote nchini kilichohudhuriwa pia na Katibu Mkuu Tamisemi Mhandisi John Nyamhanga na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Vijana) Bw. Andrew Massawe Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 28, 2019.

Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi John Kijazi akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa  Kagera Brigedia jenerali Marco Gaguti awamu ya pili ya    vitambulisho vya wafanyabishara ndogondogo vilivyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Ta nzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa kikao kazi cha kujadili mikakati ya kufanikisha zoezi hilo. Wanaoshuhudia katikati ni  Katibu Mkuu TAMISEMI  Mhandisi John Nyamhanga na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Vijana) Bw. Andrew Massawe Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 28, 2019

Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi John Kijazi akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa  Katavi Mhe. Amos Makalla awamu ya pili ya vitambulisho vya wafanyabishara ndogondogo vilivyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Ta nzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa kikao kazi cha kujadili mikakati ya kufanikisha zoezi hilo. Wanaoshuhudia katikati ni  Katibu Mkuu TAMISEMI  Mhandisi John Nyamhanga na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Vijana) Bw. Andrew Massawe Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 28, 2019.

No comments:

Post a Comment