TAASISI YA DK NTUYABALIWE YAKABIDHI MAKTABA TANDALE MAGHARIBI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Tuesday, 29 January 2019

TAASISI YA DK NTUYABALIWE YAKABIDHI MAKTABA TANDALE MAGHARIBI

Muasisi na mwenyekiti wa  taasisi ya Dk Ntuyabaliwe, Jacqueline Mengi akikata utepe kufungua maktaba mpya ya shule ya msingi Tandale Magharibi iliyojengwa na taasisi hiyo jijini Dar es Salaam katika hafla iliyofanyika mwishoni mwa juma. Wanaoshuhudia tukio hilo ni Mwalimu Mkuu  wa shule hiyo, Doris Msigalo (katikati), Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni Grace Mtesigwa (wa kwanza kulia) pamoja na baadhi ya wanafunzi wa shule hiyo.

Muasisi na mwenyekiti wa  taasisi ya Dk Ntuyabaliwe, Jacqueline Mengi akizungumza na mmoja wa wanafunzi kwenye maktaba hiyo. 

Muasisi na mwenyekiti wa  taasisi ya Dk Ntuyabaliwe, Jacqueline Mengi akizungumza na wanafunzi wa shule ya msingi Tandale Magharibi mara baada ya kuwasili shuleni hapo kwa ajili ya tukio la kuzindua maktaba  lililofanyika mwishoni mwa juma jijini Dar es Salaam.

Walimu nao wakipata 'selfie' na muasisi na mwenyekiti wa  taasisi ya Dk Ntuyabaliwe, Jacqueline Mengi 

No comments:

Post a Comment