VODACOM YASAINI MKATABA NA MFUKO WA MAWASILIANO KWA WOTE - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Saturday, 15 December 2018

VODACOM YASAINI MKATABA NA MFUKO WA MAWASILIANO KWA WOTE

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom Tanzania PLC, Hisham Hendi (kulia) akibadilishana nakala ya mkataba na Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF), Eng. Peter Ulanga (kushoto) mara baada ya kutiliana saini jijini Dar es Salaam. Katika makubaliano hayo Kampuni ya Vodacom itasambaza mawasiliano maeneo ya vijijini.

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom Tanzania PLC, Hisham Hendi (kulia) akisaini mkataba na Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) Eng. Peter Ulanga (kushoto) jijini Dar es Salaam. Katika makubaliano hayo Kampuni ya Vodacom itasambaza mawasiliano maeneo ya vijijini ili kuchochea maendeleo. Wanao shuhudia ni Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Eng. Issack Kamwele pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Mawasiliano), Dk. Maria Sasabo.

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom Tanzania PLC, Hisham Hendi (wa pili kulia) akizungumza katika kikao na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Issack Kamwele kabla ya kuanza kwa hafla ya kuweka saini katika mkataba wa kusambaza mawasiliano maeneo ya vijijini jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment