RAIS DK MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA NJIA NANE KIMARA – KIBAHA UREFU KM 19.2 - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Wednesday, 19 December 2018

RAIS DK MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA NJIA NANE KIMARA – KIBAHA UREFU KM 19.2

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli pamoja na viongozi wengine wakikata utepe kuzinduwa mradi wa Upanuzi wa barabara ya Morogoro Kuanzia Kimara hadi Kibaha yenye Urefu wa Kilometa 19.2 . Hafla iliyofanyika Kimara Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli (kulia) akizinduwa mradi wa Upanuzi wa barabara ya Morogoro Kuanzia Kimara hadi Kibaha yenye Urefu wa Kilometa 19.2 . Hafla iliyofanyika Kimara Jijini Dar es Salaam. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akizungumza alipokuwa akizinduwa mradi wa Upanuzi wa barabara ya Morogoro Kuanzia Kimara hadi Kibaha yenye Urefu wa Kilometa 19.2 . Hafla iliyofanyika Kimara Jijini Dar es Salaam. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mtendaji Mkuu wa TANROADS Mhandisi Patrick Mfugale akitoa maelezo ya mradi wakati wa hafla  ya uwekaji jiwe la Msingi la Ujenzi wa Upanuzi wa barabara ya Morogoro Kuanzia Kimara hadi Kibaha yenye Urefu wa Kilometa 19.2 . Hafla iliyofanyika Kimara Jijini Dar es Salaam.Desemba 19,2018.

Mtendaji Mkuu wa TANROADS Mhandisi Patrick Mfugale akitoa maelezo ya mradi wakati wa hafla  ya uwekaji jiwe la Msingi la Ujenzi wa Upanuzi wa barabara ya Morogoro Kuanzia Kimara hadi Kibaha yenye Urefu wa Kilometa 19.2.

No comments:

Post a Comment