RAIS DK MAGUFULI AMJULIA HALI HOSPITALINI RAIS MSTAAFU ALHAJI MWINYI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Thursday, 6 December 2018

RAIS DK MAGUFULI AMJULIA HALI HOSPITALINI RAIS MSTAAFU ALHAJI MWINYI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakiomba Dua Maalumu na Rais Mstaafu wa awamu ya pili Mhe. Ali Hassan Mwinyi, Bi. Khadija Mwinyi (Mke wa Mzee Mwinyi) pamoja na Abdallah Mwinyi (Mtoto wa Mzee Mwinyi) alipomtembelea kumjulia hali Jijini Dar es Salaam.Disemba 5,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Rais Mstaafu wa awamu ya pili Mhe.Ali Hassan Mwinyi alipomtembelea kumjulia hali  Jijini Dar es Salaam.Disemba 5,2018.

No comments:

Post a Comment