Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpa mkono wa pongezi Mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara baada ya kula kuapo Bungeni jijini Dodoma .leo .Novemba 6/2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). |
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpa mkono wa pongezi Mbunge wa Korogwe Mjini baada ya kula kuapo Bungeni jijini Dodoma leo. Novemba 6/2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). |
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpa mkono wa pongezi Mbunge wa Liwale, Mohamed Kuchauka baada ya kula kiapo Bungeni jijini Dodoma leo .Novemba 6/2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). |
No comments:
Post a Comment