RAIS MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA KUAGA MWILI WA MAREHEMU BABA ASKOFU CHENGULA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Monday, 26 November 2018

RAIS MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA KUAGA MWILI WA MAREHEMU BABA ASKOFU CHENGULA


Add caption

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe akisaini kitabu cha maombolezo mara baada ya kuwasili Makao makuu ya Baraza la Maaskofu wa kanisa Katoliki Tanzania (TEC) kuaga mwili wa Marehemu Baba Askofu Evaristo Chengula wa Jimbo kuu la Mbeya, Ibada iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Immakulata Makao Makuu ya Baraza hilo Kurasini Jijini Dar es Salaam. Novemba 26,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe akitoa salamu zake za mwisho kwa mwili wa Marehemu Baba Askofu Evaristo Chengula wa Jimbo kuu la Mbeya, Ibada iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Immakulata Makao makuu ya Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) Kurasini Jijini Dar es salaam. Novemba 26, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe akizungumza wakati wa Ibada ya kuaga mwili wa Marehemu Baba Askofu Evaristo Chengula wa Jimbo kuu la Mbeya,Ibada iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Immakulata Makao makuu ya Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) Kurasini Jijini Dar es salaam.Novemba 26,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe akipongezwa mara baada ya kutoa salamu za rambirambi na Makamu wa Rais wa baraza la Maaskofu wa Kanisa katoliki Baba Askofu Dk. Flavian Kasalla wakati wa Ibada ya kuaga mwili wa Marehemu Baba Askofu Evaristo Chengula wa Jimbo kuu la Mbeya,iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Immakulata Makao makuu ya Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) Kurasini Jijini Dar es salaam.Novemba 26,2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe akiwa na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Benjamini Mkapa, Mama Anna Mkapa pamoja na Maaskofu, Mapadre, Masista na Waumini wenginne wakati ibada ikiendelea ya kuaga mwili wa Marehemu Baba Askofu Evaristo Chengula wa Jimbo kuu la Mbeya, iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Immakulata Makao makuu ya Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) Kurasini Jijini Dar es salaam.Novemba 26, 2018.

RAIS MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA KUAGA MWILI WA MAREHEMU BABA ASKOFU CHENGULA.


No comments:

Post a Comment