RAIS DK MAGUFULI AKUTANA NA WAGENI MBALIMBALI IKULU - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Tuesday, 13 November 2018

RAIS DK MAGUFULI AKUTANA NA WAGENI MBALIMBALI IKULU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Mfanyabiashara Rostam Aziz Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mwanasiasa Mkongwe wa Chama cha UDP John Cheyo Ikulu jijini Dar es Salam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Mwenyekiti wa TCD ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi James Mbatia Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa nchini John Shibuda mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Mfanyabiashara Rostam Aziz Ikulu jijini Dar es Salaam.


No comments:

Post a Comment