PM MAJALIWA AWASILI NACHINGWEA KWA ZIARA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Saturday, 17 November 2018

PM MAJALIWA AWASILI NACHINGWEA KWA ZIARA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Viongozi wa Mkoa wa Lindi wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Nachingwea, Novemba 17, 2018. Wapili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi Godfrey Zambi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  na mkewe Mary (wapili kushoto) wakiitazama ngoma ya Nsolopa iliyotubuizwa na Kikundi cha Mshikamano wakati walipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Nachingwea mkoani Lindi, Novemba 17, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment