MWENYEKITI CCM RAIS DK MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Wednesday, 31 October 2018

MWENYEKITI CCM RAIS DK MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM katika ofisi ndogo za chama hicho mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam Okotoba 30, 2018.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan baada ya kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM katika ofisi ndogo za chama hicho mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam Okotoba 30, 2018. Kati yao ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndg. Philip Mangula na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai. PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment