BODI YA USAJILI WAHANDISI KUADHIMISHA SIKU YA WAHANDISI TANZANIA SEPTEMBA 5 HADI 7, 2018 - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Monday, 3 September 2018

BODI YA USAJILI WAHANDISI KUADHIMISHA SIKU YA WAHANDISI TANZANIA SEPTEMBA 5 HADI 7, 2018

Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Maadhimisho ya Siku ya Wahandisi Tanzania 2018, Ngwisa Mpembe (kushoto) akizungumza na waandishi ya habari (hawapo pichani) leo jijini Dar es Salaam, kuelezea shughuli mbalimbali zitakazofanyika katika maadhimisho hayo yanayotarajia kufanyika katika Ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es Salaam kuanzia Septemba 5 hadi 7, 2018. Kulia ni Kaimu Msajili wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi Tanzania, Injinia Patrick Barozi.

Kaimu Msajili wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi Tanzania, Injinia Patrick Barozi akizungumza na wanahabari juu ya Maadhimisho ya Siku ya Wahandisi Tanzania 2018, yatakayofanyika katika Ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es Salaam kuanzia Septemba 5 hadi 7, 2018.

Kaimu Msajili wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi Tanzania, Injinia Patrick Barozi (kulia) akifafanua jambo kwa wanahabari juu ya Maadhimisho ya Siku ya Wahandisi Tanzania 2018, yatakayofanyika katika Ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es Salaam kuanzia Septemba 5 hadi 7, 2018. Kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Maadhimisho ya Siku ya Wahandisi Tanzania 2018, Ngwisa Mpembe

Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Maadhimisho ya Siku ya Wahandisi Tanzania 2018, Ngwisa Mpembe (kushoto) akionesha nembo maalumu  ya maaadhimisho kwa wanahabari. Kulia ni Kaimu Msajili wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi Tanzania, Injinia Patrick Barozi.

Kulia ni Kaimu Msajili wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi Tanzania, Injinia Patrick Barozi akionesha vazi rasmi la maadhimisho hayo.

Sehemu ya wanahabari wakifuatilia mazungumzo hayo.

No comments:

Post a Comment