Askofu mstasfu wa Jimbo la Bukoba Nestory Timanywa. |
TAARIFA zilizotufikia zinasema kuwa; Askofu mstasfu wa Jimbo la Bukoba, Baba Nestory Timanywa amefariki dunia.
Taarifa zaidi zinabainisha kuwa Baba askofu Timanywa amefariki dunia leo wakati akipata matibabu katika Hospital ya Bugando jijini Mwanza. Mungu ailaze roho ya marehemu Baba askofu Timanywa mahala pema peponi, amina.
No comments:
Post a Comment