MA-PROFESA RUTH MEENA, MARJORIE MBILINYI WASIMULIA MAISHA YAO KILINGE CHA TGNP - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Friday, 31 August 2018

MA-PROFESA RUTH MEENA, MARJORIE MBILINYI WASIMULIA MAISHA YAO KILINGE CHA TGNP

Mwanaharakati na Mwanachama wa TGNP Mtandao, Profesa Marjorie Mbilinyi (kulia) akitoa simulizi ya maisha yake kwa vijana wa kike toka baadhi ya vyuo jijini Dar es Salaam kwenye Kilinge cha Simulizi kilichoandaliwa na TGNP Mtandao.

Mwanachama wa TGNP Mtandao, Profesa Ruth Meena akitoa simulizi ya maisha yake kwa vijana wa kike toka baadhi ya vyuo jijini Dar es Salaam kwenye Kilinge cha Simulizi kilichoandaliwa na TGNP Mtandao.

Mwanachama wa TGNP Mtandao, Profesa Ruth Meena akitoa simulizi ya maisha yake kwa vijana wa kike toka baadhi ya vyuo jijini Dar es Salaam kwenye Kilinge cha Simulizi kilichoandaliwa na TGNP Mtandao.

Baadhi ya vijana wa kike toka vyuo mbalimbali jijini Dar es Salaam wakifuatilia simulizi kwenye Kilinge cha Simulizi kilichoandaliwa na TGNP Mtandao. Kilinge hicho kilikuwa na lengo la kuwatia moyo vijana katika kusimamia ndoto na malengo yao katika maisha licha ya changamoto wanazokumbana nazo.

Mwanaharakati na Mwanachama wa TGNP Mtandao, Profesa Marjorie Mbilinyi (kushoto) akitoa simulizi ya maisha yake kwa vijana wa kike toka baadhi ya vyuo jijini Dar es Salaam kwenye Kilinge cha Simulizi kilichoandaliwa na TGNP Mtandao.

Mwanachama wa TGNP Mtandao, Profesa Ruth Meena akitoa simulizi ya maisha yake kwa vijana wa kike toka baadhi ya vyuo jijini Dar es Salaam kwenye Kilinge cha Simulizi kilichoandaliwa na TGNP Mtandao.

Sehemu ya washiliki wa Kilinge cha Simulizi kilichoandaliwa na TGNP Mtandao wakiselebuka na watoa simulizi wao, Profesa Ruth Meena Profesa Marjorie Mbilinyi.

Mjadala wa Kilinge cha Simulizi kilichoandaliwa na TGNP Mtandao ukiendelea kwa washiriki. 

No comments:

Post a Comment