UTIAJI SAINI MKATABA WA UJENZI WA DARAJA JIPYA LA SELANDER - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Tuesday, 24 July 2018

UTIAJI SAINI MKATABA WA UJENZI WA DARAJA JIPYA LA SELANDER

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Korea Lee Nak-yeon wakishuhudia tukio la utiaji saini Mkataba wa mradi wa ujenzi wa Ujenzi wa Daraja jipya la Selander litakalopita baharini kuanzia katika Hospitali ya Agha Khan hadi maeneo ya  Coco beach jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi zawadi ya Picha Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Korea Lee Nak-Yeon mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Korea Lee Nak-yeon wakati wakielekea katika ukumbi wa Jakaya Kikwete uliopo Ikulu kwa ajili ya kushuhudia tukio la Utiaji saini Mkataba wa Ujenzi wa Daraja jipya la Selander litakalopita baharini kuanzia katika Hospitali ya Agha Khan mpaka Coco beach jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mgeni wake Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Korea Lee Nak-yeon mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wageni mbalimbali  mara baada ya tukio la utiaji saini wa mradi wa ujenzi wa Ujenzi wa Daraja jipya la Selander litakalopita baharini kuanzia katika Hospitali ya Agha Khan mpaka Coco beach jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza wakati wa tukio la Utiaji saini Mkataba wa Ujenzi wa Daraja jipya la Selander litakalopita baharini kuanzia katika Hospitali ya Agha Khan mpaka Coco beach jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Korea Lee Nak-yeon watatu kutoka (kushoto)pamoja na viongozi wengine wa Jamhuri ya Korea, Serikali ya Tanzania, Wabunge, Wakuu wa Wilaya pamoja na viongozi wa Mkoa.

No comments:

Post a Comment