Kamanda Wa Polisi Mkoa Wa Arusha,Ramadhani Ng'anzi akionesha baadhi ya mashine hizo. |
Na Ahmed Mahmoud Arusha
JESHI la Polisi Mkoa wa Arusha Kwa kush irikiana na Bodi ya Michezo ya Kuhatisha Tanzania (GBT) imekam ata na kuteketeza Mashine Fek i 45 zenye thamani ya sh. milioni 90 za Michezo ya kubahatisha ziizoingizwa nchin i kinyemela na kutokuwa na usa jiri.
Akiongea na Vyombo vya habari lleo Julai 26 Kamanda Wa Polisi Mkoa Wa Arusha,Ramadhani Ng'anzi amese ma Mashine hizo zilikatwa maen eo mbalimbali ya Mkoa wa Arush a katika operesheni ya wiki moja iliuofanya.
Aidha amesema katika operesheni hiyo watu wawili wanashikiliwa na polisi akiwemo raia wa China wakihusishwa na uingizaji na uuzaji wa Mashine hizo bila kufuata utaratibu ikiwemo kutosajiliwa na bodi, kutokulip a kodi ya serikali huku zikitu mika maeneo ambayo hayajaidhin ishwa.
Kwa upande wake,meneja wa ukag uzi na udhibiti wa bodi ya Mic hezo ya kubahatisha nchini,Sad ick Mangesho amesema kuwa awal i bodi hiyo ilipata taarifa za kuingizwa kinyemela kwa Mashi ne hizo bila kufuata utaratibu wa usajili huku baadhi yake z ikiwa ni feki.
Amesema Mashine hizo zimesamba zwa katika maeneyo mbalimbali yasiyoidhinishwa na zinatumika kuibia wananchi na zimekuwa z ikiendeshwa bila kulipia kodi ya serikali.
Amesema baadhi ya wamiliki wa Mashine hizo walifanikiwa kuto roka ila walifanikiwa kuwatia mbaroni wahusika wawili akiwem o RAIA wa China na mtanzania M moja .
Hata hivyo upelelezi zaidi wa tukio hilo bado unaendelea.
Hata hivyo upelelezi zaidi wa
Zoezi la operesheni linaendele a katika maeneo mbalimbali hap a nchini ambapo hivi karibuni walikamata na kuteketeza Mashi ne zaidi ya 80 mkoani Kigoma.
Amesema kuwa Mashine hizo zina
Naye Afisa utamaduni wa halmas hauri ya Jiji la Arusha, Benson Maneno,a lipongeza maafisa hao kwa kush irikiana nao kuendesha operesh eni hiyo na kuwa wao kama Jiji walishaanza operesheni na kuhakikisha hakuna Mashine fe ki inayotumika.
Amesema kuwa lengo la jiji kuondoa mashine feki ni uwepo wa ukweli na kuondoa mashine hizo zikiwa ni sehemu ya ukwepaji wa mapato ya jiji na serikali na kuwataka wale wote wanaotaka kujishughulisha na biashara hiyo kufuata sheria na taratibu zote.
No comments:
Post a Comment