RAIS DKT. SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA MATANKI YA KUPOKEA MAFUTA BANDARI YA DAR ES SALAAM - THE HABARII

THE HABARII

HABARI | MATUKIO | MICHEZO.

ASAS GROUP

Habari Mpya

Tuesday, 3 March 2026

RAIS DKT. SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA MATANKI YA KUPOKEA MAFUTA BANDARI YA DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi Mradi wa ujenzi wa Matanki ya kupokea mafuta katika Bandari ya Dar es Salaam katika eneo la Kigamboni Jijini Dar es Salaam, tarehe 03 Machi, 2026.

Muonekano wa eneo la Mradi wa ujenzi wa Matanki ya kupokea mafuta katika Bandari ya Dar es Salaam, Kigamboni Jijini Dar es Salaam. Ujenzi wa Matanki hayo utasaidia kupunguza au kuondoa kabisa uhaba wa mafuta Nchini, kuimarisha usalama wa nishati hiyo, kupunguza muda wa meli kusubiri nangani kutoka wastani wa siku 22 hadi siku 7, kupunguza muda wa kushusha shehena ya mafuta kutoka siku 7 hadi siku 1, kuongeza mapato ya Taifa kupitia makusanyo ya kodi na tozo mbalimbali zitakazo kusanywa na Mamlaka husika pamoja na kutoa ajira kwa Watanzania.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan mara baada ya kuweka jiwe la msingi Mradi wa Ujenzi wa Matanki ya kupokea Mafuta katika Bandari ya Dar es Salaam, Kigamboni, Jijini Dar es Salaam, tarehe 03 Machi, 2026.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Uchukuzi Mhe. Profesa Makame Mnyaa Mbarawa mara baada ya kuweka jiwe la Msingi Mradi wa Ujenzi wa Matanki ya kupokea Mafuta katika Bandari ya Dar es Salaam, Kigamboni, Jijini Dar es Salaam, tarehe 03 Machi, 2026.

No comments:

Post a Comment