WAZIRI WA FEDHA AIMWAGIA SIFA TADB - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Sunday, 1 February 2026

WAZIRI WA FEDHA AIMWAGIA SIFA TADB

 

Waziri wa Fedha wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb.) kulia, akipokea  taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania-TADB, ya kipindi cha miaka 10 tangu ianzishwe mwaka 2015-2025, kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Bw. Frank Nyabundege,  katika Ofisi za Wizara ya Fedha, Treasury Squire, jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment