RAIS DKT. SAMIA AWASILI ADDIS ABABA, ETHIOPIA KUSHIRIKI MKUTANO WA 39 WA KAWAIDA WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI WA UMOJA WA AFRIKA (AU) - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Thursday, 12 February 2026

RAIS DKT. SAMIA AWASILI ADDIS ABABA, ETHIOPIA KUSHIRIKI MKUTANO WA 39 WA KAWAIDA WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI WA UMOJA WA AFRIKA (AU)

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa 

Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa Bole, Jijini Addis Ababa Ethiopia, tarehe 12 Februari, 2026 kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 39 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU).


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokelewa na Waziri wa Kazi na Ukuzaji wa Ujuzi wa Ethiopia Mheshimiwa Muferihat Kamil Ahmed mara baada ya kuwasili katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa  Bole, Jijini Addis Ababa Ethiopia, tarehe 12 Februari, 2026 kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 39 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU).

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa 

Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua gwaride la heshima mara baada ya kuwasili katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa Bole, Jijini Addis Ababa Ethiopia, tarehe 12 Februari, 2026 kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 39 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU).


No comments:

Post a Comment