KATIBU MKUU PROF. MSOFFE AZUNGUMZA KWENYE MKUTANO KIMATAIFA KUHUSU AKILI MNEMBA (AI) NA MABADILIKO YA TABIANCHI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Thursday, 9 October 2025

KATIBU MKUU PROF. MSOFFE AZUNGUMZA KWENYE MKUTANO KIMATAIFA KUHUSU AKILI MNEMBA (AI) NA MABADILIKO YA TABIANCHI

 


Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Prof. Peter Msoffe akizungumza katika Mkutano wa Kimataifa kuhusu akili mnemba (AI) na Mabadiliko ya Tabianchi uliomalizika Oktoba 9,2025 jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mshauri wa Rais wa katika masuala ya mazingira na Mwenyekiti wa Kundi la Afrika cha Majadiliano (AGN), Dk. Richard Muyungi. PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS.

No comments:

Post a Comment