MGOMBEA NAFASI YA RAIS KWA TIKETI YA CCM, DKT. SAMIA AKIZUNGUMZA NA WANANCHI, WANACHAMA NA WAPENZI WA CCM MUSOMA MJINI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Friday, 10 October 2025

MGOMBEA NAFASI YA RAIS KWA TIKETI YA CCM, DKT. SAMIA AKIZUNGUMZA NA WANANCHI, WANACHAMA NA WAPENZI WA CCM MUSOMA MJINI

Mgombea nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wananchi,  Wanachama na Wapenzi wa  CCM wa Musoma Mjini  katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho Mkoani Mara tarehe 09 Octoba, 2025.


















Mgombea nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiwapungia mkono Wananchi,  Wanachama na Wapenzi wa  CCM wa Musoma Mjini.

No comments:

Post a Comment