MGOMBEA CCK ACHUKUA FOMU ZA UTEUZI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Tuesday, 12 August 2025

MGOMBEA CCK ACHUKUA FOMU ZA UTEUZI

 

Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Kijamii  (CCK), Mhe. David Daud Mwaijojele pamoja na Mgombea Mwenza, Mhe.  Masoud Ali Abdala (kushoto) wakionesha fomu hizo leo Agosti 12, 2025 baada ya kukabidhiwa na Tume (Picha na INEC).

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Kijamii  (CCK), Mhe. David Daud Mwaijojele. Mgombea huyo waaliambatana na Mgombea Mwenza, Mhe.  Masoud Ali Abdala (kushoto) alichukua fomu hizo leo Agosti 12, 2025 ambapo Tume inataraji kufanya uteuzi Agosti 27 mwaka huu. (Picha na INEC).

No comments:

Post a Comment