DKT. KIMAMBO AFANYA KIKAO NA TIMU YA MENEJIMENTI MUHIMBILI, AWATAKA KUSIMAMIA UWAJIBIKAJI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Wednesday, 20 August 2025

DKT. KIMAMBO AFANYA KIKAO NA TIMU YA MENEJIMENTI MUHIMBILI, AWATAKA KUSIMAMIA UWAJIBIKAJI

 

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dkt. Delilah Kimambo, amefanya kikao chake cha kwanza na Wakurugenzi, Wakuu wa Idara pamoja na Meneja wa Majengo ambapo amewataka kusimamia uwajibikaji, umoja na ushirikiano, sambamba na kuonyesha umiliki katika utoaji wa huduma. Aidha, amesisitiza umuhimu wa mawasiliano mazuri kwa watumishi wote, akibainisha kuwa mshikamano wa pamoja ndio nguzo ya mafanikio ya taasisi kubwa kama hiyo.

No comments:

Post a Comment