Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt.
Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali waliohudhuria Sherehe za miaka
50 ya Uhuru wa Comoro katika uwanja wa Malouzini Jijini Moroni tarehe 06 Julai, 2025.
Matukio mbalimbali
wakati wa Sherehe za miaka 50 ya Uhuru wa Comoro katika uwanja wa Malouzini
Jijini Moroni tarehe 06 Julai, 2025.
Burudani ya ngoma ikitolewa
Matukio mbalimbali
wakati wa Sherehe za miaka 50 ya Uhuru wa Comoro katika uwanja wa Malouzini
Jijini Moroni tarehe 06 Julai, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi mbalimbali pamoja na wananchi wa Comoro kwenye Sherehe hiyo.
Matukio mbalimbali
wakati wa Sherehe za miaka 50 ya Uhuru wa Comoro katika uwanja wa Malouzini
Jijini Moroni tarehe 06 Julai, 2025.

No comments:
Post a Comment