![]() |
| Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia mara baada ya Kufungua Kanisa la Arise and Shine, Kawe Jijini Dar es salaam. |
![]() |
| Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kama ishara ya kuweka jiwe la msingi la Ufunguzi wa Kanisa la Arise and Shine, Kawe Jijini Dar es salaam. |
![]() |
| Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika hafla ya Ufunguzi wa Kanisa la Arise and Shine, Kawe Jijini Dar es salaam. |




.jpeg)
.jpeg)

.jpeg)
.jpeg)

.jpeg)


No comments:
Post a Comment