Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika hafla
ya Ufunguzi wa Kanisa la Arise and Shine, Kawe Jijini Dar es salaam.Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akisogeza kitambaa
kama ishara ya kuweka jiwe la msingi la Ufunguzi wa Kanisa la Arise and Shine,
Kawe Jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kama
ishara ya kuweka jiwe la msingi la Ufunguzi wa Kanisa la Arise and Shine, Kawe
Jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia mara baada
ya Kufungua Kanisa la Arise and Shine,
Kawe Jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia mara baada
ya Kufungua Kanisa la Arise and Shine,
Kawe Jijini Dar es salaam.
Matukio mbalimbali
yaliyojiri wakati wa Hafla ya Ufunguzi wa Kanisa Arise and Shine ambapo Mgeni
rasmi alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia
Suluhu Hassan, Kawe Jijini Dar es salaam.

Muonekano wa kanisa hilo.

No comments:
Post a Comment