Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi pamoja na wageni mbalimbali kabla ya kufunga Mafunzo ya Maafisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Jeshi la Polisi Tanzania katika sherehe zilizofanyika katika Chuo cha Taaluma ya Polisi kilichopo Kurasini Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
akihutubia viongozi pamoja na wageni mbalimbali kabla ya kufunga Mafunzo ya
Maafisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Jeshi la Polisi Tanzania katika sherehe
zilizofanyika katika Chuo cha Taaluma ya Polisi kilichopo Kurasini Jijini Dar
es Salaam tarehe 09 Juni, 2025.












No comments:
Post a Comment