KATIBU MKUU OFISI YA MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA WAJUMBE WA KAMATI YA URATIBU ZOEZI KUKABILIANA NA MAGUGU ZIWA VICTORIA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Saturday, 7 June 2025

KATIBU MKUU OFISI YA MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA WAJUMBE WA KAMATI YA URATIBU ZOEZI KUKABILIANA NA MAGUGU ZIWA VICTORIA

1. Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mha. Cyprian Luhemeja (mwenye miwani) akiongea na baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Kitaifa ya Uratibu wa zoezi la kukabiliana na Gugumaji Ziwa Victoria alipotembelea kuona namna zoezi hilo linavyoendelea eneo la Busisi Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza, Juni 7, 2025.

1.     Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mha. Cyprian Luhemeja (mwenye miwani) akielezea jambo kwa baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Kitaifa ya Uratibu wa zoezi la kukabiliana na Gugumaji Ziwa Victoria alipotembelea kuona namna zoezi hilo linavyoendelea eneo la Busisi Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza, Juni 7, 2025.

1.     Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mha. Cyprian Luhemeja (mwenye miwani) akikagua maendeleo ya ukataji Gugumaji Ziwa Victoria eneo la Busisi wilayani Sengerema mkoani Mwanza akiwa pamoja na baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Kitaifa ya Uratibu wa zoezi la kukabiliana na Gugumaji Ziwa Victoria, Juni 7, 2025.

 Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mha. Cyprian Luhemeja (katikati) akiongea na baadhi ya Viongozi wa Jeshi la Wananchi pamoja na Wajumbe wa Kamati ya Kitaifa ya Uratibu wa zoezi la kukabiliana na Gugumaji Ziwa Victoria alipotembelea kuona namna zoezi hilo linavyoendelea eneo la Busisi Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza, Juni 7, 2025.

 

No comments:

Post a Comment