DKT. NCHEMBA AWASILISHA BUNGENI MUSWADA WA SHERIA YA FEDHA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Thursday, 26 June 2025

DKT. NCHEMBA AWASILISHA BUNGENI MUSWADA WA SHERIA YA FEDHA


 WAZII wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akiwasilisha bungeni Muswada wa Sheria ya fedha wa mwaka 2025 baada ya hapo jana Bunge kupitisha Bajeti Kuu ya Serikali ya shilingi trilioni 56.49 kwa mwaka wa Fedha 2025/2026.

No comments:

Post a Comment