RAIS DKT. SAMIA AONGOZA MKUTANO WA KAWAIDA WA 38 WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI WA AU KWA NIABA WA MWENYEKITI AU, RAIS WA ANGOLA MHE. LOURENÇO, ADDIS ABABA, ETHIOPIA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Sunday, 16 February 2025

RAIS DKT. SAMIA AONGOZA MKUTANO WA KAWAIDA WA 38 WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI WA AU KWA NIABA WA MWENYEKITI AU, RAIS WA ANGOLA MHE. LOURENÇO, ADDIS ABABA, ETHIOPIA

 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Mkutano wa Kawaida wa 38 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU) kwa niaba ya Mwenyekiti wa Umoja huo Rais wa Angola Mhe. João Lourenço katika ukumbi wa Nelson Mandela uliopo Makao Makuu ya Umoja huo, Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 16 Februari, 2025. Aidha, Tanzania imechaguliwa kuwa Mjumbe wa Kamati ya Uongozi wa Umoja wa Afrika (Bureau of the African Union Assembly) kwa mwaka 2025.

No comments:

Post a Comment