RAIS SAMIA AKUTANA NA MANUSURA WA AJALI YA LUCKY VINCENT NCHINI MAREKANI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Saturday, 2 November 2024

RAIS SAMIA AKUTANA NA MANUSURA WA AJALI YA LUCKY VINCENT NCHINI MAREKANI

 



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Sadhia Abdallah, wapili kulia Doreen Mshana wa kwanza (kulia), Wilson Tarimo wapili (kushoto) tarehe 31 Oktoba 2024, mjini Iowa, nchini Marekani.


Vijana hawa watatu ni manusura wa ajali ya basi la Shule ya Msingi Lucky Vincent iliyotokea Mei 6, 2017 katika eneo la Rothia wilayani Karatu Mkaoni Arusha. Vijana hao wapo nchini Marekani wakiendelea na masomo ya elimu ya juu katika Vyuo Vikuu tofauti.


No comments:

Post a Comment