MHE. RAIS DKT. SAMIA AZINDUA ZOEZI LA KUJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA WAPIGA KURA, UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA, CHAMWINO DODOMA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Friday, 11 October 2024

MHE. RAIS DKT. SAMIA AZINDUA ZOEZI LA KUJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA WAPIGA KURA, UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA, CHAMWINO DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akijiandikisha kwenye Daftari la Wapiga kura kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Kitongoji cha Sokoine, Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 11 Oktoba,2024.

Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan azindua Zoezi la Kujiandikisha kwenye Daftari la Wapiga Kura, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Chamwino Mkoani Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Chamwino mara baada ya kujiandikisha kwenye Daftari la Wapiga Kura kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Kitongoji cha Sokoine Mkoani Dodoma tarehe 11 Oktoba,2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akijiandikisha kwenye Daftari la Wapiga kura kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Kitongoji cha Sokoine, Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 11 Oktoba,2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika ofisi ya Kijiji cha Chamwino, Mkoani Dodoma kwa ajili ya kuzindua zoezi la kujiandikisha kwenye Daftari la Wapiga kura tarehe 11 Oktoba,2024.

No comments:

Post a Comment